Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Mleta thread Hata mie namkubali sana uyo dada kama yupo singo pleaseee ani PM tujadili issues za muhimu katika maisha ya baadae
 
Yaani sana though grownup lakini Ana muonekano mzuri.

By secret admirer N'yadikwa
 
Wewe unaumwa si bure uzi wa namna hii si ulianzisha humu na hupo?
 
Wewe unaumwa si bure uzi wa namna hii si ulianzisha humu na hupo?

Kuna watu huwa hawafikirii hata kidogo...

Yaani anachokiwaza ndicho wengine watachokipata toka kwake...

Hawana muda wa kutafakari...
 
cc: suleym
FATMA.JPG

jamaa linafaidi aisee
 
Back
Top Bottom