Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Anafaa kurumangia kwa kachumbalDada Janet Jackson amekuwa mkubwa akawa mzuri zaidi.Wewe dada Janet wewe![emoji7][emoji7][emoji7]
Halafu ukimwona unaweza kufikiri kuwa anatokea hapo kwa akina Mtogole kwa jinsi alivyo mpole na humble.
Dada wa watu ni mzuri,mpole,mkarimu na humble[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 2058751
How do you know??With her fake smile!
Cheko halisi au tabasam halisi huhusisha misuli ya mdomo mpaka machoni!.. tazama katika miisho ya macho yake hakuna tumikunjo hata kiduchu! Ukitaka kuhakiki ziba mdomo wake kwa kidole halafu angalia macho utaona macho yake yalivyomsaliti..!How do you know??