Dada Janet

Dada Janet

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Dada Janet Jackson amekuwa mkubwa akawa mzuri zaidi.Wewe dada Janet wewe!😍😍😍

Halafu ukimwona unaweza kufikiri kuwa anatokea hapo kwa akina Mtogole kwa jinsi alivyo mpole na humble.

Dada wa watu ni mzuri,mpole,mkarimu na humble🤗🤗🤗
WGC.jpg
 
Dada Janet Jackson amekuwa mkubwa akawa mzuri zaidi.Wewe dada Janet wewe![emoji7][emoji7][emoji7]

Halafu ukimwona unaweza kufikiri kuwa anatokea hapo kwa akina Mtogole kwa jinsi alivyo mpole na humble.

Dada wa watu ni mzuri,mpole,mkarimu na humble[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 2058751
Anafaa kurumangia kwa kachumbal

USSR
 
How do you know??
Cheko halisi au tabasam halisi huhusisha misuli ya mdomo mpaka machoni!.. tazama katika miisho ya macho yake hakuna tumikunjo hata kiduchu! Ukitaka kuhakiki ziba mdomo wake kwa kidole halafu angalia macho utaona macho yake yalivyomsaliti..!
Ni lugha mwili (body language).
 
Back
Top Bottom