Dada Jide wape makavu maana wamezidi

[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mimi nipo busy na huyo wa kulia, yaani kushoto kwa AY hayo aliyosema huyo anayeitwa ''Da jide'' mtatusimulia baadae.
 
Mimi nipo busy na huyo wa kulia, yaani kushoto kwa AY hayo aliyosema huyo anayeitwa ''Da jide'' mtatusimulia baadae.
mkuu tuko pamoja sidhan kama Kuna cha kuangalia zaidi ya huyo wa kulia[emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
Niko nje ya mada kidogo ila Ay ni msenge. Kaacha huyo demu mwenye mguu kama wa Demiss kaoa flat screen
 
jide ingetakiwa akawemo kwenye picha hiyo tumthaminishe kwanza mashabik
 
Sijaelewa kitu, ila walau nimeona picha nimeifurahia.
 
Ambao hamjaelewa ,juzi Jide kwenye harusi ya AY alivaa nguo nyeupe sasa page kibao huko instagram Dakawa wanamkosoa kwamba alikosea kuvaa nguo nyeupe rangi moja na bibi harusi, nadhani walizidi hadi kaamua kuwajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…