Dada Jide wape makavu maana wamezidi

Dada Jide wape makavu maana wamezidi

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
Waambie ukweli maana wamezidi
b295601f5a005a4fc09c6a58f29c54ee.jpg

fd3f5066074613d0d8ed5c66f334ff5c.jpg
 
Mimi nipo busy na huyo wa kulia, yaani kushoto kwa AY hayo aliyosema huyo anayeitwa ''Da jide'' mtatusimulia baadae.
 
Mimi nipo busy na huyo wa kulia, yaani kushoto kwa AY hayo aliyosema huyo anayeitwa ''Da jide'' mtatusimulia baadae.
mkuu tuko pamoja sidhan kama Kuna cha kuangalia zaidi ya huyo wa kulia[emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
Sijaelewa kitu, ila walau nimeona picha nimeifurahia.
 
Ambao hamjaelewa ,juzi Jide kwenye harusi ya AY alivaa nguo nyeupe sasa page kibao huko instagram Dakawa wanamkosoa kwamba alikosea kuvaa nguo nyeupe rangi moja na bibi harusi, nadhani walizidi hadi kaamua kuwajibu
 
Back
Top Bottom