Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unayesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?

Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unayesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,302
Reaction score
7,815
Heshima kwenu wanaJF,
Naomba nizungumze kidogo juu ya Dada yetu, ambae amekuwa mstari wa kuupotosha umma wa wanawake kwenye kudai haki zao.

Naomba ieleweke hakuna mila inayomkandamiza mwanamke, na wala hakuna dini inayomkandamiza mwanamke. Kitendo cha kuwajaza upepo wanawake wadai usawa kwa waume zao ni kinyume na maadili ya mwafrica na hata kiimani. (Kwa ndugu zangu waislam nadhani mnanielewa hapa), zile kampeni zake zakuwaasa wanawake wadai 50/50 kwa waume zao ni upotoshaji wa kimaadili na kiimani. Lakini wanawake wengi wakamiminika wanawake live na kuamini anachoongea.

Wanaofahamu dini walipingana sana nae lakini hakuwaelewa, na sasa mambo yamemgeukia, super woman anaenda kwa makonda kupanga foleni ya kwamba katelekezwa, kasahau alidai usawa na mumewe wa ndo teena ile iliyofungwa mahala patakatifu na kuapa mbele za Mungu.

Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unaesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?
Hivi Kileo angepata ubunge ungemdhalilisha kama ufanyavyo sasa?
Angalia usije ukama kama walibya wanavyomkumbuka Gaddafi, (We don't know what we got until we lose it)

Juzi Naangalia kipindi chako naona umehamia upande wa pili. Unatuasa tuanze kujiuza kwa waume zetu.

Dada kaungame, hii ni laana

joyce%2BKiria%2B1.jpg
Screenshot_2018-01-22-22-39-21_1.jpg
FB_IMG_15233602725703653.jpg
 
Kuna watu ni wakuhurumia tu. Mnaweza kuwa mnamlaumu mwenzenu kumbe anahitaji msaada mkubwa zaidi wa kisaikolojia kama sio matibabu ya akili.

Maisha yanachangamoto nyingi sana, zote zinaweza kupelekea kumtoa mtu kabisa kwenye mstari na watu bila kujua tukabaki kulaumu tu.

Wengine wanahitaji maombi zaidi.
 
Nadhani Nimekuelewa, ila watu wake wa karibu wahusike kumsaidia maana tangu tulivyoanza kupiga kelele bado hajashtuka
 
Huyu dada ni wa kumuacha kama alivyo kiufupi huwa haeleweki si alikuwa anasema mumewe ni marioo sasa mbona ameenda kujianika kwa makonda marioo atawezaje kumuhudumia

Mama Yeyoo haujaenda? Sina raha kabisa toka jana. Njoo tusameheane tuendelee na maisha.
Haya mambo ya kudhalilishana mbele ya kadamnasi hayafai.
 
Mama Yeyoo haujaenda? Sina raha kabisa toka jana. Njoo tusameheane tuendelee na maisha.
Haya mambo ya kudhalilishana mbele ya kadamnasi hayafai.
Hahahaa mm siwezi kwenda baba yeyoo nitajua jinsi ya kupambana mtoto wangu akue kwenda huko ni kumdhalilisha uliyezaa nae
 
Hahahaa mm siwezi kwenda baba yeyoo nitajua jinsi ya kupambana mtoto wangu akue kwenda huko ni kumdhalilisha uliyezaa nae

Nimeshakusamehe Mama Yeyoo, ila usimsahau huyu mwenzako kwenye maombi yako.
Nakubali kupangwa foleni hata utuweke mia mbili sawa tu, sio kwa busara hizo.

cc Mzigua90 Sakayo
 
Hahhaha baba yeyoo mm sikuwezi tubaki marafiki tu halafu Davet ana wivu mnoo hataki mambo za foleni anataka abaki pekee tu

Sawa Mama Yeyoo, maadam nimetoa msamaha na kuomba turejee ndoa yetu umenimwaga kweupe hadharani, sina neno.
Lakini kweli msimsahau huyu malikia wa nguvu kwenye maombi yenu. Maisha yana changamoto mno.
 
Sawa Mama Yeyoo, maadam nimetoa msamaha na kuomba turejee ndoa yetu umenimwaga kweupe hadharani, sina neno.
Lakini kweli msimsahau huyu malikia wa nguvu kwenye maombi yenu. Maisha yana changamoto mno.
Sawa baba yeyoo tutamwombea
 
Back
Top Bottom