Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Heshima kwenu wanaJF,
Naomba nizungumze kidogo juu ya Dada yetu, ambae amekuwa mstari wa kuupotosha umma wa wanawake kwenye kudai haki zao.
Naomba ieleweke hakuna mila inayomkandamiza mwanamke, na wala hakuna dini inayomkandamiza mwanamke. Kitendo cha kuwajaza upepo wanawake wadai usawa kwa waume zao ni kinyume na maadili ya mwafrica na hata kiimani. (Kwa ndugu zangu waislam nadhani mnanielewa hapa), zile kampeni zake zakuwaasa wanawake wadai 50/50 kwa waume zao ni upotoshaji wa kimaadili na kiimani. Lakini wanawake wengi wakamiminika wanawake live na kuamini anachoongea.
Wanaofahamu dini walipingana sana nae lakini hakuwaelewa, na sasa mambo yamemgeukia, super woman anaenda kwa makonda kupanga foleni ya kwamba katelekezwa, kasahau alidai usawa na mumewe wa ndo teena ile iliyofungwa mahala patakatifu na kuapa mbele za Mungu.
Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unaesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?
Hivi Kileo angepata ubunge ungemdhalilisha kama ufanyavyo sasa?
Angalia usije ukama kama walibya wanavyomkumbuka Gaddafi, (We don't know what we got until we lose it)
Juzi Naangalia kipindi chako naona umehamia upande wa pili. Unatuasa tuanze kujiuza kwa waume zetu.
Dada kaungame, hii ni laana