Ukishikwa shikamana
Kwahiyo unataka kusema ukileo umeshamtupa mkono?Picha namba 1, ni alipokuwa na kileo. Picha namba 3 ni Jana baada ya kutengana na kileo
Ndio hapo sasaNa inawezekanaje le super woman, iron Lady ukaolewe na kuzaa na Marioo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemiminwa mkubwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3]
HahahahMama Yeyoo haujaenda? Sina raha kabisa toka jana. Njoo tusameheane tuendelee na maisha.
Haya mambo ya kudhalilishana mbele ya kadamnasi hayafai.
Pambana na hali yako tu ndugu, utafanyeje sasa![emoji23] [emoji23]Nimemiminwa mkubwa.
Pambana na hali yako tu ndugu, utafanyeje sasa![emoji23] [emoji23]
OhoooHuyo ni gold digger kama madada wa sinza kwahio msimshangae
Asante sana mkuu, tatizo ni athari anayoiacha kwenye jamii. Maana ametengeneza wafuasi kadhaa kupitia taasisi yake ya wanawake liveukiwafuata feminist wengi kwanza kisaikolojia ni watu ambao hawako sawa,kwanza ni kundi la watu wengi walio achika kwenye ndoa zao,na wengi huwa hawaeleweki wanataka nini ila watatumia chombo chochote kujifanya wanadai haki zao,ukienda ustawi wa jamii wapo,wengine ndio hawa wameenda na kwa makonda ila mtandaoni anajinadi kuwa yeye ndio anamlea mumewe,sasa unampeleka vipi marioo kwa makonda kashindwa kuhudumia watoto? atappata wapi hata pesa za kuhudumia watoto?
Mi huwa sielewi hivi ukiwa feminist ni lazima uingie into crashes na mwanaume? au ndio lengo lenyewe la hawa wa Beijing wadau wa 50 kwa 50? hivi haiwezekani feminist wakawa wanaamasisha wanawake kuwaheshimu waume zao na wanaume kuwaheshimu wake zao? au kumuhamasisha mwanamke awe mama bora kwa familia zao? kwanza wengi ni wapiga dili tuu,maana mafungu wanapewa toka UN na NGO zingine leo wameshindwa hata kujenga ki dispensary hata cha kuwasaidia akina mama wanajifungua kwa shida,wanawake wenye akili tuu ndio wanaelewa lengo la hawa watu,Mama Samia siku moja aliwaasa wanawake kuwaheshimu waume zao,alisema pamoja na wadhfa mkubwa alio anao nchini ila akifika hom anampigia mumewe goti kama kawaida
Huyo Joyce kisaikolojia hayuko sawa,kadri siku zinzvyokwenda anazidi kuwa chizi
Counseling...pale mwalimu anapofeli mtihani alioutunga.Kuna watu ni wakuhurumia tu. Mnaweza kuwa mnamlaumu mwenzenu kumbe anahitaji msaada mkubwa zaidi wa kisaikolojia kama sio matibabu ya akili.
Maisha yanachangamoto nyingi sana, zote zinaweza kupelekea kumtoa mtu kabisa kwenye mstari na watu bila kujua tukabaki kulaumu tu.
Wengine wanahitaji maombi zaidi.
wajinga siku zote ndio waliwao,ma bright kama nyie atawasikia tuuAsante sana mkuu, tatizo ni athari anayoiacha kwenye jamii. Maana ametengeneza wafuasi kadhaa kupitia taasisi yake ya wanawake live