Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unayesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?

Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unayesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?

Mama Yeyoo haujaenda? Sina raha kabisa toka jana. Njoo tusameheane tuendelee na maisha.
Haya mambo ya kudhalilishana mbele ya kadamnasi hayafai.
Hahahah
IMG-20180410-WA0011.jpg
 
Yaani huyo bibi ni sifuri kabisa.
Alikuja hadharani kumdhalilisha mumewe kuwa ni Mariooo, sasa leo vipi tena unapanga foleni kudai kutelekezwa na marioo?
Marioo atakusaidia nini hasa?

Joyce Kiria nenda kapambane na hali yako.
 
Hawa wakati wa utawala wangu ni kuwatia viboko hadharan
 
Kiki mbaya jaman achen tu maana alishaaongea kwa yodo yeye hamtegemei mwanaume haya folen imemuumbua
 
ukiwafuata feminist wengi kwanza kisaikolojia ni watu ambao hawako sawa,kwanza ni kundi la watu wengi walio achika kwenye ndoa zao,na wengi huwa hawaeleweki wanataka nini ila watatumia chombo chochote kujifanya wanadai haki zao,ukienda ustawi wa jamii wapo,wengine ndio hawa wameenda na kwa makonda ila mtandaoni anajinadi kuwa yeye ndio anamlea mumewe,sasa unampeleka vipi marioo kwa makonda kashindwa kuhudumia watoto? atappata wapi hata pesa za kuhudumia watoto?

Mi huwa sielewi hivi ukiwa feminist ni lazima uingie into crashes na mwanaume? au ndio lengo lenyewe la hawa wa Beijing wadau wa 50 kwa 50? hivi haiwezekani feminist wakawa wanaamasisha wanawake kuwaheshimu waume zao na wanaume kuwaheshimu wake zao? au kumuhamasisha mwanamke awe mama bora kwa familia zao?

kwanza wengi ni wapiga dili tuu,maana mafungu wanapewa toka UN na NGO zingine leo wameshindwa hata kujenga ki dispensary hata cha kuwasaidia akina mama wanajifungua kwa shida,wanawake wenye akili tuu ndio wanaelewa lengo la hawa watu,Mama Samia siku moja aliwaasa wanawake kuwaheshimu waume zao,alisema pamoja na wadhfa mkubwa alio anao nchini ila akifika hom anampigia mumewe goti kama kawaida
Huyo Joyce kisaikolojia hayuko sawa,kadri siku zinzvyokwenda anazidi kuwa chizi
 
Nahisi alikuwa anaongea vitu asivyo vielewa wala kuviju shwaini huyu.
 
ukiwafuata feminist wengi kwanza kisaikolojia ni watu ambao hawako sawa,kwanza ni kundi la watu wengi walio achika kwenye ndoa zao,na wengi huwa hawaeleweki wanataka nini ila watatumia chombo chochote kujifanya wanadai haki zao,ukienda ustawi wa jamii wapo,wengine ndio hawa wameenda na kwa makonda ila mtandaoni anajinadi kuwa yeye ndio anamlea mumewe,sasa unampeleka vipi marioo kwa makonda kashindwa kuhudumia watoto? atappata wapi hata pesa za kuhudumia watoto?
Mi huwa sielewi hivi ukiwa feminist ni lazima uingie into crashes na mwanaume? au ndio lengo lenyewe la hawa wa Beijing wadau wa 50 kwa 50? hivi haiwezekani feminist wakawa wanaamasisha wanawake kuwaheshimu waume zao na wanaume kuwaheshimu wake zao? au kumuhamasisha mwanamke awe mama bora kwa familia zao? kwanza wengi ni wapiga dili tuu,maana mafungu wanapewa toka UN na NGO zingine leo wameshindwa hata kujenga ki dispensary hata cha kuwasaidia akina mama wanajifungua kwa shida,wanawake wenye akili tuu ndio wanaelewa lengo la hawa watu,Mama Samia siku moja aliwaasa wanawake kuwaheshimu waume zao,alisema pamoja na wadhfa mkubwa alio anao nchini ila akifika hom anampigia mumewe goti kama kawaida
Huyo Joyce kisaikolojia hayuko sawa,kadri siku zinzvyokwenda anazidi kuwa chizi
Asante sana mkuu, tatizo ni athari anayoiacha kwenye jamii. Maana ametengeneza wafuasi kadhaa kupitia taasisi yake ya wanawake live
 
Mi hata kipindi changu tangu kinaanzishwa sijawahi kuangalia....naonaga matangazi tu......mwanaume nikae naangalia wanawake live
 
Kuna watu ni wakuhurumia tu. Mnaweza kuwa mnamlaumu mwenzenu kumbe anahitaji msaada mkubwa zaidi wa kisaikolojia kama sio matibabu ya akili.

Maisha yanachangamoto nyingi sana, zote zinaweza kupelekea kumtoa mtu kabisa kwenye mstari na watu bila kujua tukabaki kulaumu tu.

Wengine wanahitaji maombi zaidi.
Counseling...pale mwalimu anapofeli mtihani alioutunga.
 
Back
Top Bottom