Hahahahawajinga siku zote ndio waliwao,ma bright kama nyie atawasikia tuu
Nadhani anamkumbuka marioo wakeKamekomaa sura kamekwisha kabisa haka
I have a dream.
Wazungu gani mkuu,wale wanaozalishwa kwenye kiwanda cha kiuno au wale wa ulaya na marekani?Nadhani anamkumbuka marioo wake
Niliwahi sikia eti wazungu wananawirisha ngozi
Wanaozalishwa kwenye kiwanda cha kiuno, eti wananawirisha ngoziWazungu gani mkuu,wale wanaozalishwa kwenye kiwanda cha kiuno au wale wa ulaya na marekani?
I have a dream.
BabeSijawahi kumuelewa Joy
Saivi anasema ni mwendo wa asilimia 70 kwa 30
Hiyo 70% kwa 30% apeleke huko kwao kama akiileta huku Mara tutamvunja miguuSijawahi kumuelewa Joy
Saivi anasema ni mwendo wa asilimia 70 kwa 30
Hahah dada superwoman anatufundisha kuwadangia waume zetuHiyo 70% kwa 30% apeleke huko kwao kama akiileta huku Mara tutamvunja miguu
I have a dream.
Wanawake wangekuwa na akili kama zako talaka zingekuwa chacheHahahaa mm siwezi kwenda baba yeyoo nitajua jinsi ya kupambana mtoto wangu akue kwenda huko ni kumdhalilisha uliyezaa nae
Bebe utakubali tuwe 50/50?Babe
Tutayaongea nyumban haya mamboBebe utakubali tuwe 50/50?
Hahahaha hii kaliSijawahi kumuelewa Joy
Saivi anasema ni mwendo wa asilimia 70 kwa 30
Naskia supika katupa mama na watoto kitambo,tulia kada mwenzio leo sukari itapanda kwa kuumbukaHAHAHAHA kama namuona kamanda Kilewo anavyo jificha kila saaa
TOENI MATUNZO
You have spokenukiwafuata feminist wengi kwanza kisaikolojia ni watu ambao hawako sawa,kwanza ni kundi la watu wengi walio achika kwenye ndoa zao,na wengi huwa hawaeleweki wanataka nini ila watatumia chombo chochote kujifanya wanadai haki zao,ukienda ustawi wa jamii wapo,wengine ndio hawa wameenda na kwa makonda ila mtandaoni anajinadi kuwa yeye ndio anamlea mumewe,sasa unampeleka vipi marioo kwa makonda kashindwa kuhudumia watoto? atappata wapi hata pesa za kuhudumia watoto?
Mi huwa sielewi hivi ukiwa feminist ni lazima uingie into crashes na mwanaume? au ndio lengo lenyewe la hawa wa Beijing wadau wa 50 kwa 50? hivi haiwezekani feminist wakawa wanaamasisha wanawake kuwaheshimu waume zao na wanaume kuwaheshimu wake zao? au kumuhamasisha mwanamke awe mama bora kwa familia zao? kwanza wengi ni wapiga dili tuu,maana mafungu wanapewa toka UN na NGO zingine leo wameshindwa hata kujenga ki dispensary hata cha kuwasaidia akina mama wanajifungua kwa shida,wanawake wenye akili tuu ndio wanaelewa lengo la hawa watu,Mama Samia siku moja aliwaasa wanawake kuwaheshimu waume zao,alisema pamoja na wadhfa mkubwa alio anao nchini ila akifika hom anampigia mumewe goti kama kawaida
Huyo Joyce kisaikolojia hayuko sawa,kadri siku zinzvyokwenda anazidi kuwa chizi
Elimu elimu elimuNahisi alikuwa anaongea vitu asivyo vielewa wala kuviju shwaini huyu.