Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unayesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?

Dada Joyce inawezekanaje le super woman, iron lady unayesema upo sawa na mwanaume Leo ukapange foleni?

Sura kama uchebe
tapatalk_1523390223946.jpeg
 
HAHAHAHA kama namuona kamanda Kilewo anavyo jificha kila saaa
TOENI MATUNZO
 
ukiwafuata feminist wengi kwanza kisaikolojia ni watu ambao hawako sawa,kwanza ni kundi la watu wengi walio achika kwenye ndoa zao,na wengi huwa hawaeleweki wanataka nini ila watatumia chombo chochote kujifanya wanadai haki zao,ukienda ustawi wa jamii wapo,wengine ndio hawa wameenda na kwa makonda ila mtandaoni anajinadi kuwa yeye ndio anamlea mumewe,sasa unampeleka vipi marioo kwa makonda kashindwa kuhudumia watoto? atappata wapi hata pesa za kuhudumia watoto?
Mi huwa sielewi hivi ukiwa feminist ni lazima uingie into crashes na mwanaume? au ndio lengo lenyewe la hawa wa Beijing wadau wa 50 kwa 50? hivi haiwezekani feminist wakawa wanaamasisha wanawake kuwaheshimu waume zao na wanaume kuwaheshimu wake zao? au kumuhamasisha mwanamke awe mama bora kwa familia zao? kwanza wengi ni wapiga dili tuu,maana mafungu wanapewa toka UN na NGO zingine leo wameshindwa hata kujenga ki dispensary hata cha kuwasaidia akina mama wanajifungua kwa shida,wanawake wenye akili tuu ndio wanaelewa lengo la hawa watu,Mama Samia siku moja aliwaasa wanawake kuwaheshimu waume zao,alisema pamoja na wadhfa mkubwa alio anao nchini ila akifika hom anampigia mumewe goti kama kawaida
Huyo Joyce kisaikolojia hayuko sawa,kadri siku zinzvyokwenda anazidi kuwa chizi
You have spoken
 
Back
Top Bottom