Huyo dada shida ni chiu ya pesa,inaonekana alitegemea atapata bwana mwenye uwezoSijawahi kumuelewa Joy
Saivi anasema ni mwendo wa asilimia 70 kwa 30
Hahaha makeup nomaMake up ni hatari sana aisee
Umeongea vema,nje ya jicho la kawaida.Kuna watu ni wakuhurumia tu. Mnaweza kuwa mnamlaumu mwenzenu kumbe anahitaji msaada mkubwa zaidi wa kisaikolojia kama sio matibabu ya akili.
Maisha yanachangamoto nyingi sana, zote zinaweza kupelekea kumtoa mtu kabisa kwenye mstari na watu bila kujua tukabaki kulaumu tu.
Wengine wanahitaji maombi zaidi.
Hakuna cha ukichaa wala nini, anajiendekeza tu.Huyu mwanamke kumfuatilia inataka moyo wa chuma....
Kichaa huyoo...
Hahahaha, ni kweliNilidhani ile picha ni edited picture,kumbe ni kweli?
Wonders shall never cease
Siku hizi kila MTU anajifanya ni motivation and inspiration speakerHUYU alishachanganyikiwa zamani..anatoa ushauri while mwenyewe anahitaji tiba ya ugonjwa wa akili
Kulikuwa na ulazima gani kwa mtu kama yeye kufanya aliyo yafanya?Hahahaha, ni kweli
Aonekane anaonewaKulikuwa na ulazima gani kwa mtu kama yeye kufanya aliyo yafanya?