mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Akina mama tatizo lenu hampendani wenyewe kwa wenyewe, ukisikiliza na kutazama baadhi ya mafundisho ya huyu mama utagundua kabisa hawapendi wanawake wenzie hasa wanaoishi vema kwenye ndoa/ mahusiano yao ndio maana anawambia eti muwe mnawachuna waume zenu