Dada kaanza kampeni mapema mno!

Magufuli alikiwa kiongozi hovyo kuliko wote.
 
Nakupongeza mleta bandiko,umeandika kinidhamu sana na umeeleweka na naamini kwa vile dada huwa anapitapita mitaa hii basi na asome kisha alichukue hili
 
Paragraph ya mwisho nimeielewa sana ,kongole mleta mada.
 
Hakuwa mtu sahihi alikuwa muuaji na katili sana mwizi wa ubabe huku akiwahadaa wajinga wajinga kwamba yey ni kiongozi wa wanyonge alikuwa muongo ndio maana anapendwa na wasio ma elimu
Niambie nani alimuuua?,watu woote waovu hawawezi kumpenda anae washughurikia,jpm ana haki ya kuchukiwa na waharifu,kwani alikuwa hataki ujinga,
 
anataka aendelee kuongoza kwa kipo hasa alichotufanyia cha maana, jibu ni moja

hatumtaki
Siyo hatumtaki sema simtaki. Mungu sio wa kuchezewa aliamua kumpa shetani uhuru nakumuacha amtwae jamaa kuzimu faster kabla ya siku zake ili mama awe Rais. Licha ya hali ya uchumi duniani na inflation ila tunaishi kwa amani na utu. Mama chaguo la Mungu ili amwandalie Rais lissu na wazir mkuu Mbowe FAM 2025.
 
Toa upuuzi tunataka katiba mpya
 
Huna hoja ya kueleweka
 
Kwenye nyuzi kama hizi ndy ninapopata nafasi ya kuwagunduwa wenye vyeti feki,,mafisadi na wafanyakazi hewa wakati wa mwendazake.
Kwani uwongo. Eti wewe kwako urais ni kufokafoka kuua watu hovyo hovyo kulamba matrilion hazina.

Yani jamaa kuruka ruka hovyohovyo hapa na Pale kama swala eti kwenu bonge la rais
 
Mambo yake muachieni mwenyewe, siasa ndivyo zilivyo...
 
Ataki kifikili na kufanya kazi yeye anawaza kutafuta wabia kuendesha nchi...maneno kuntu
 
CCM itaenda kushindwa uchaguzi mwaka 2025..hawatokaa waamini macho yao. Hapo ndo watapata picha halisi huku mtaani watu wamewachoka kiasi gani
 
Kwa tume ipi ya uchaguzi?
CCM itaenda kushindwa uchaguzi mwaka 2025..hawatokaa waamini macho yao. Hapo ndo watapata picha halisi huku mtaani watu wamewachoka kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…