Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

Dada kama jamaa yako anapiga deki 2024, basi mshikirie sana

Ukitaka kuepuka kugongewa muone mwenye sura mbaya, shepu ya pipa na rangi ya jiko la mkaa.

Wa hivyo unaweza kwenda kusoma nje miaka 7 ama kufungwa gerezani miaka 10 ukamkuta na utamu wake.
 
Huko chumvini Kuna Nini? Kila post chumvini🤣🤣
 
Kwa Taarifa yako Kuna miamba Ina PhD za plumbing(Uzibua mitaro)Haijalishi ni wapi iwe mtaroni au shimo la nya wao ni kuzibua.Ombea manzi Ako asiingie anga zetu.
 
Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe".
Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
Unapigaje deki chombo cha starehe mkuu.....? Chenyewe ndio kikupige deki alafu unakizima na nyekundu kadhaa tu. Kikitaka kupigwa deki kikatafute wa kikipiga deki
 
Back
Top Bottom