Dada Kaniblock baada ya kukataa asije nyumbani

Dada Kaniblock baada ya kukataa asije nyumbani

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kuna Wadada wanapenda kuumizwa wenyewe, staff member center mpya ya kazi, dada haamini kuwa niko taken, amelazimisha aje ninapoishi.

(mke bado hajaja) nimemzuga ila mwishowe nimeona nimwambie ukweli kua hata akijichanganya tukasex akapata mimba chance ya kuwa na mimi ni 0, at best naweza m-support tu.

Kwakua nimejua lengo lake, nimeona asije akaji attach akaja kuumia mbeleni.
Kosa liko wapi?

Sikuona faida ya kutake advantage of her
 
Achana na shetani huyo mshauri muende hospital akapiga sindano ya kuziw mimba ya mwaka mzima ndio umle Kama miezi 3 Hadi 6 mpige chini fala huyo, malofa wa kike kama hao usiwaache kataa ndoa ni nuksi huyo ni pepo kula shoo hio
 
Kwani alikwambia anataka ndoa?
Pengine alitaka mchezeane Tu halafu muachane??.
Utakuja kuzushiwa maneno mengine bure ... wanawake wa Kiafrika hawataki kukataliwa 😅
Kibongo bongo, kuanzia miaka 23, kama mwanamke yuko tayari consiously ku-date casually, hiyo ni shida,
 
Kuna Wadada wanapenda kuumizwa wenyewe, staff member center mpya ya kazi, dada haamini kuwa niko taken, amelazimisha aje ninapoishi.

(mke bado hajaja) nimemzuga ila mwishowe nimeona nimwambie ukweli kua hata akijichanganya tukasex akapata mimba chance ya kuwa na mimi ni 0, at best naweza m-support tu.

Kwakua nimejua lengo lake, nimeona asije akaji attach akaja kuumia mbeleni.
Kosa liko wapi?

Sikuona faida ya kutake advantage of her
Hakuna kosa....umefanya jambo sahihi
 
Back
Top Bottom