Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Hii imekaaje wakuu mtaani kuna dada anaolewa leo usiku but nashangaa kaka yake kafurahi hadi kazimia na kuzinduka baada ya lisaa limoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida itakuwa nini aiseeItakuwa huko dar kwenu
Hahahaaile mimba ya wiki moja inaenda kubebeshwa kwa ndugu muoaji
ile mimba ya wiki moja inaenda kubebeshwa kwa ndugu muoaji
Mkuu naww hauna kaka. Tufanye mchakato wa kumzimisha???Hahaaa
Kuna wanawake wana roho mbaya sana, wanakupa mtoto ambaye sio wako bila hurumaile mimba ya wiki moja inaenda kubebeshwa kwa ndugu muoaji
HahaaKuna wanawake wana roho mbaya sana, wanakupa mtoto ambaye sio wako bila huruma
Hii imekaaje wakuu mtaani kuna dada anaolewa leo usiku but nashangaa kaka yake kafurahi hadi kazimia na kuzinduka baada ya lisaa limoja.
Mchunguzeni huyo kaka vizuri hamuwezi jua nyuma ya paziaHii imekaaje wakuu mtaani kuna dada anaolewa leo usiku but nashangaa kaka yake kafurahi hadi kazimia na kuzinduka baada ya lisaa limoja.
Ni kweli mimi sina dada na pia sina mtoto wa kike huenda ndio maana nimestaajabuUtamu wa familia unaondoka hivi hivi kirahisi, mjinga mmoja akafaidi maisha yake yote tena hana kazi ya maana, haiwezekani?
kumuona dadangu anazunguka pale sebuleni kwanza raha sana, upole, ucheshi wake unafanya hata kidume usiende mbali
huyo lazima aliumia tu. dada wazuri bana asikudanganye mtu, kwanza unajulikana mitaa yote, unalipiwa kila kitu kwa hatua unayopiga.
Nzuri zaidi mkifanana sura, siyo sura ya chini, narudia tena msinipeleke chini huko, baki usoni tu. Utafaidi hivi vitu.
Daladala- bure
Dukani kwa mpemba -Bure
Bia-bure
Bodaboda-bure
Karo ya shule- bure, shuleni utapendwa na kila mtu
Nguo-bure
Kuendesha gari la Wazengeaji wa dada-bure
Sasa dada kaenda kwa kapuku- mwisho wa raha zake- hasa dada akiwa mrembo wee!
mleta mada hana dada. au siyo warembo.
Basi kwanza pole. umekosa mafanikio makubwa Duniani, yaani ulivyo ungekuwa na dada hesabu mara 20 ya ulivyo sasa . dada ni dawa inayotibu bila kujua, imekutibujeNi kweli mimi sina dada na pia sina mtoto wa kike huenda ndio maana nimestaajabu