Dada kaolewa kaka kafurahi hadi kupoteza fahamu

Dada kaolewa kaka kafurahi hadi kupoteza fahamu

Hii imekaaje wakuu mtaani kuna dada anaolewa leo usiku but nashangaa kaka yake kafurahi hadi kazimia na kuzinduka baada ya lisaa limoja.

Kwani tatizo nini? Mfano wewe dada yako akiolewa huwezi kufurahi? au tatizo ni kuzimia? inawezekana kuzimia ni shida tu ya kiafya, ila kama kaka, dada yako akiolewa ni vizuri ufurahi kwani ameleta heshima kwenu. Mmmeongeza ukoo, utapata wajomba na mambo mengi ya heri. Furahia muombee maisha mema.
 
wanawake ni watu wazuri sana...wakikupenda sana wanaweza hata kukupa mtoto asiye wako

sasa hapo nahisi kaka ameshangaa kuona dada kampenda sana bwana harusi kiasi cha kumpa mimba ya wiki moja
 
Utamu wa familia unaondoka hivi hivi kirahisi, mjinga mmoja akafaidi maisha yake yote tena hana kazi ya maana, haiwezekani?

kumuona dadangu anazunguka pale sebuleni kwanza raha sana, upole, ucheshi wake unafanya hata kidume usiende mbali

huyo lazima aliumia tu. dada wazuri bana asikudanganye mtu, kwanza unajulikana mitaa yote, unalipiwa kila kitu kwa hatua unayopiga.
Nzuri zaidi mkifanana sura, siyo sura ya chini, narudia tena msinipeleke chini huko, baki usoni tu. Utafaidi hivi vitu.

Daladala- bure
Dukani kwa mpemba -Bure
Bia-bure
Bodaboda-bure
Karo ya shule- bure, shuleni utapendwa na kila mtu
Nguo-bure
Kuendesha gari la Wazengeaji wa dada-bure

Sasa dada kaenda kwa kapuku- mwisho wa raha zake- hasa dada akiwa mrembo wee!
mleta mada hana dada. au siyo warembo.
 
Ni kweli mimi sina dada na pia sina mtoto wa kike huenda ndio maana nimestaajabu
 
Ni kweli mimi sina dada na pia sina mtoto wa kike huenda ndio maana nimestaajabu
Basi kwanza pole. umekosa mafanikio makubwa Duniani, yaani ulivyo ungekuwa na dada hesabu mara 20 ya ulivyo sasa . dada ni dawa inayotibu bila kujua, imekutibuje
 
Back
Top Bottom