Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Dada yetu Kipenzi, pole sana sana
Kifupi mimi ni mdogo wako fulani
Ukijiandaa kugombea Kawe Ubunge nilikuonya Wajumbe usiwaamini kabisa kabisa wanakukula mpaka mifupa wakikupa moyo
Haitoshi nikashauri hata hizo pesa zenu za kugawa usisambaze sana Wajumbe ni sawa na Yuda na wanapenda pesa utahisi wote wamezaliwa Marangu sehemu mmoja
Ila kwenye kura utawapenda...hahaha!! Dada ukajipa moyo.....otherwise wana Kawe walishagoma kuongozwa tena na Mwanamke toka waliyokutana nayo kwa H.Mdee
Walikuwa wako radhi waweke jiwe sio mwanamke hizi habari walikuwa wanaziongelea tu walipomaliza kukutana na wewe vikaoni
Otherwise na mdomo nao badilika kuna baadhi ya maneno ulikuwa ukiongea ukitoka tu wanasema hatujuii eeh anaweka mikwara
Haooo ndio Wajumbe baba zao mama zao tofauti lakini damu zao zote zinanukia pesa
All the best kama utakuwa hai all d best tena jaribu 2030
Angalizo: Sio jimbo la Kawe
Wajumbee sioo watu wazuriii hahahaa
wajumbee oyeeeeee
power of wajumbee wenginee wanachekaa tu