Abuu Bardizbah
Member
- Aug 10, 2013
- 76
- 7
Mwambie AChanganye kijiko kimoja cha Tangawizi kavu na kijiko kimoja cha Asali safi ya nyuki isiyochakachuliwa kisha awe anakunywa mara nne kwa siku kwa muda wa siku 3 au siku 7 kisha uje unipe Feedback amepona. chanzo.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.tushughulikie na hili jaman
Chukua vitunguu saumu toa maganda kisha twanga upate uji uji,chukua kitungu maji kimoja kikate kate kama unaunga mbogatushughulikie na hili jaman
tushughulikie na hili jaman