Dada mmoja anakohoa sana ashapima ngoma hana kikohoz kinamsumbua sana jaman kuna dawa

Dada mmoja anakohoa sana ashapima ngoma hana kikohoz kinamsumbua sana jaman kuna dawa

tushughulikie na hili jaman
Mwambie AChanganye kijiko kimoja cha Tangawizi kavu na kijiko kimoja cha Asali safi ya nyuki isiyochakachuliwa kisha awe anakunywa mara nne kwa siku kwa muda wa siku 3 au siku 7 kisha uje unipe Feedback amepona. chanzo.MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
 
Amesha chukua vipimo vya TB?kama kihozi cha kawaida mpeleke kwenye huduma za afya wampatie matibu,kama uko mbali na kuna mtu tabibu karibu yako mwambie amdunge x-pen,pia kama hakuna hiyo mwambie akupatie hata Amoxy its better for respiratory surface.
 
Mwambie anywe chai ya tangawizi mara tatu kwa siku, tangawizi atumie mbichi siyo ya unga na humo kwenye chai iwe maji, tangawizi na sukari au asali tu asiweke majani ya chai, lazima apone
 
tushughulikie na hili jaman
Chukua vitunguu saumu toa maganda kisha twanga upate uji uji,chukua kitungu maji kimoja kikate kate kama unaunga mboga
(CHEMSHA VICHEMKE ALAFU MCHUZI ULE KUNYWA KIK6BE KIMOJA CHA CHAI ASUBUH,MCHANA JION KWA MUDA WA CKU 3 KWISHAAA KAMA Bado kapime Tb
 
Akapime TB km Hana ajaribu dawa za minyooo,huenda hajanywa cku nyingi,
 
anaweza kuwa na minyoo, huwa ikiingia mapafuni husababisha kikozi kisichoisha pia inaweza kuwa allergy hasa ya vitu vya kulalia.
 
Back
Top Bottom