Dada mtu anamtafutia wifi yake bwana

Huyu mke wetu anasema yeye alimuambia amekuta meseji za wanawake kwenye simu ya best angu sasa akawa anamdisia wifi yake ndio akakutana na ushauri huo wa kubomoa
Hahahaaa siku atakayofuata huo ushauri hatokaa akuambie, ila ipo siku... Anayeweza kutuelewa wanawake ni Mungu tuu😃😃😃

Kwavile ni wewe basi basi"
[emoji120]

Happy sunday Mafiningo
 
Huyu mke wetu anasema yeye alimuambia amekuta meseji za wanawake kwenye simu ya best angu sasa akawa anamdisia wifi yake ndio akakutana na ushauri huo wa kubomoa
Mwambie best ako huo ushauri utafanyiwa Kazi tuu, hapo anajikoo anajikosha
 
Mzaramo?
 
Wanawake wajinga wawili walikutana lolote linaweza kutokea

Sababu mwanamke anachykua ujinga kwa rafiki mtu anayepiga nae story akichanganya na ujinga wake wa ASILI ndo kabisaaaa
 
Kikulacho…..

Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.
 
Waefeso 5:5 Maana neno hili mnalijua hakika, ya kwamba hakuna mwasherati wala mchafu wala mwenye tamaa, ndiye mwabudu sanamu, aliye na urithi katika ufalme wa Kristo na Mungu.

Ufunuo 2:20
Lakini nina jambo hili dhidi yako, kwamba unamsamehe mwanamke Yezebeli, ambaye hujiita nabii na anafundisha na kudanganya watumishi wangu kufanya vitendo vya ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…