Geen
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 286
- 86
uwiano ni yeye na mimi ni 21 kwa 25
Ok then tafuta jinsi ya kuwasiliana,usimsumbue dada mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwiano ni yeye na mimi ni 21 kwa 25
uwiano ni yeye na mimi ni 21 kwa 25
21 form 4? Dunia hii ya leo!?!
Na wasiwasi amekudanganya umri
it means mnunulie huyo uliyemdondokea simu acha ubahili....
21 form 4? Dunia hii ya leo!?!
Na wasiwasi amekudanganya umri
ingekua mm dada m2 nngekupa namba ya mama yake, ili upate fundisho! we machangudoa wakwako na wanaojieshimu wako, ebo km umejichokea kimaisha ebu endelea na hao nusu uchi wa usiku, toa mada zako zakizinifu!
Hebu acheni kurubuni vitoto vya shule nyie.
kwa nini mr.kongosho?
nakumbuka umri huo nlikua 1st yr chuo.
kwani wanabakwa???
hiyo ni robo tatu ya kuwabaka. Wanahitaji kuelimishwa kuhusu mahusiano na si kuwatumia kama mnavyofanya. Nyie vipi nyie!!
Mh! Kwahyo we Domozege mpaka utongozewe? Usirudie tena kanunue cm mpe huyo kidet.