Manala An Academician
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 119
- 57
Sifa:
1. Uwezo mzuri sana katika masoko, mauzo na huduma kwa wateja
2. Awe tayari kufika kazini kabla ya saa 12:30 asubuhi na kuondoka saa 12:00 jioni kwa Jumatatu mpaka Ijumaa na kuanzia saa 1:30 asubuhi mpaka saa 12:00 jioni kwa Jumamosi
3. Awe tayari kufanya kazi yenye matokeo chini ya usimamizi mdogo sana
4. Ubunifu na uwezo wa kumshawishi mtu yeyote itakuwa ni sifa ya ziada
5. Uwezo wa kutumia computer, mitandao ya kijamii pia ni sifa ya ziada
6. Mshahara ni mazungumzo kutegemea na uwezo na matokeo ya kazi yako
7. Shule iko Mabibo Dar es salaam
8. Mwisho wa maombi ni siku 7 tokea tarehe 01.03.2020 saa 10:00 jioni
NB: Mawasiliano ni 0757930779