(Dada na Bos) Dada akubali ushauri wenu

(Dada na Bos) Dada akubali ushauri wenu

ngonzi zomukama

Senior Member
Joined
Apr 13, 2010
Posts
170
Reaction score
6
Naanza kwakusema ahsanteni sana hasa kwakumpa ushauri wenu mzuri dada yangu japo wengine walibeza badala ya kushauri. Niliongea na dada juzi nikamueleza kila kitu na ilibidi ni print kilia ushauri wa mtu kwakweli ilikuwa kama ametolewa usingizini kitu kimoja tu aliniahakikiashia atalirudisha lile gari kwani alikuwa haja anza hata kulitumia lilikuwa limepaki pale ofcn pia ameniambia anatafuta kazi kwa nguvu zote ili aache pale na ili apotee machoni pa yule boss, na pia ameniahidi kuwa atamueleza ukweli kuwa alifuata kazi pale na si mapenzi na sio kwamba alishindwa kumjibu vile mapema ila alikuwa anachelea kazi yake ila sas hv anajihisi mwenye nguvu baada ya ushuri wenu na jasiri na akasema kwakuwa anatetea ndoa yake mungu atamsimamia.
Nawasalisha
 
mtie moyo na awe kweli amkiri hayo ulosema.
 
pia ameniambia anatafuta kazi kwa nguvu zote ili aache pale na ili apotee machoni pa yule boss, na pia ameniahidi kuwa atamueleza ukweli kuwa alifuata kazi pale na si mapenzi na sio kwamba alishindwa kumjibu vile mapema ila alikuwa anachelea kazi yake ila sas hv anajihisi mwenye nguvu baada ya ushuri wenu na jasiri na akasema kwakuwa anatetea ndoa yake mungu atamsimamia.

Nzomukama, Mkumbushe kuwa kazi zinapatikana, unaweza kuacha hapa ukapata pale lakini si ndoa; ndoa watu wengi ambao hawajaipata wanaililia; they have got good houses, good cars, god jobs lakini hawana ndoa! Ningekuwa ni mimi, ningeshaacha kazi (baada a kumueleza mume na kushauriana). Naamini Mungu atamfungulia mlango mwingine.
 
Mimi napenda watu wa namna hii mnaotoa shukrani baada ya kufanikiwa katika jambo fulani. Mpe dada BIG UP!
 
Sifa na shukrani kwa Mungu wetu ambao wengine wetu tulimwomba kwa ajili ya dada huyu!
 
Ahsante kwa feedback.Lakini mbona kalainika kirahisi vile? Gud.
 
akili za za kuambiwa changanya na za kwako (mbayuwayu)
mmmh! FUNZADUME cjui ulitakaje lkn me nadhani hapo ameambiwa na akachanganya na zake na akachekecha akaona wapi ni bora sasa cjui ulitaka akatae ushuri wa wengi ndo ungeona sio rahisi? au ndo unge furahi?
 
Was it your sister au wewe mwenyewe ....???
 
mpe hi sana msister kama ni basi ni muelewa tena sana sana tu yani
nimefarijika sana kama ni kweli ILO ZEE LITAKUA LIMEKOMESHWA ASWAAAA\\\\\:kiss::kiss::kiss::kiss:
 
Mimi napenda watu wa namna hii mnaotoa shukrani baada ya kufanikiwa katika jambo fulani. Mpe dada BIG UP!

Hata mimi napenda sana, sio watu tunajikunja kutoa ushauri hapa halafu hata feeback hatupati.
 
kitu kimoja tu aliniahakikiashia atalirudisha lile gari kwani alikuwa haja anza hata kulitumia lilikuwa limepaki pale ofcn pia ameniambia anatafuta kazi kwa nguvu zote ili aache pale na ili apotee machoni pa yule boss,

Mimi naomba nisome katikati ya mistari...........amepewa gari na imepaki ofcn, watu wanaiona tuu!! angeanzaje kuitumia?
Pili, anatafuta kazi ili asiwe anamuona huyo boss machoni??¬¬¬ that means akimuona machoni analegea kwishinei au???

USHAURI: anatakiwa akate ushauri wa kuachana na huyo jamaa!! inaonekana wanakulana kama kawa!! swala la ku-avoid kumuonana uso kwa uso ni matamanio yake tu amabayo hayaonyeshi dhamira ya kuachana nae.
 
Watu wengine mnapenda kucomplicate kila kitu! akisema nakupenda utauliza umenipendea nn, nakuchukua utauliza kwa nn! dada kaamua hataki kumwona huyo bosi tena! hata kama alimla itmeans ameamua kumwacha baada ya kugundua mapenzi ya kuhongana hayana maana anampenda mumewe na si mali za bosi
 
USHAURI: anatakiwa akate ushauri wa kuachana na huyo jamaa!! inaonekana wanakulana kama kawa!! swala la ku-avoid kumuonana uso kwa uso ni matamanio yake tu amabayo hayaonyeshi dhamira ya kuachana nae.

Mpaka hapo cousin naungana na wote wanaosemaga kuwa yu are very giniaz as long as hupitii CHAWOTE kwanza! kula tano! :becky:
 
Back
Top Bottom