ngonzi zomukama
Senior Member
- Apr 13, 2010
- 170
- 6
Naanza kwakusema ahsanteni sana hasa kwakumpa ushauri wenu mzuri dada yangu japo wengine walibeza badala ya kushauri. Niliongea na dada juzi nikamueleza kila kitu na ilibidi ni print kilia ushauri wa mtu kwakweli ilikuwa kama ametolewa usingizini kitu kimoja tu aliniahakikiashia atalirudisha lile gari kwani alikuwa haja anza hata kulitumia lilikuwa limepaki pale ofcn pia ameniambia anatafuta kazi kwa nguvu zote ili aache pale na ili apotee machoni pa yule boss, na pia ameniahidi kuwa atamueleza ukweli kuwa alifuata kazi pale na si mapenzi na sio kwamba alishindwa kumjibu vile mapema ila alikuwa anachelea kazi yake ila sas hv anajihisi mwenye nguvu baada ya ushuri wenu na jasiri na akasema kwakuwa anatetea ndoa yake mungu atamsimamia.
Nawasalisha
Nawasalisha