Dada na mdogo wake

Tatizo dada mtu anamwonea wivu mdogo mtu anatamani kama yeye ndo angeolewa, tatizo hakujua km mke wa prof atafariki nazani angejua asingemwacha, alichokuwa akifata kwa Prof ni pesa. Kumweka mdogo wake kwa Prof ni ili wasimpoteze mtu mwenye pesa km Prof kwenye familia hilo ndo lengo hasa la dada m2. Huyu mdogo m2 amweke tu dada mtu chini ampe ukweli kuwa sio km anamnyima, na amwambie aache tamaa ndoa itamshinda, au akatafute atm nyingine si ndo tabia yao. Na mdogo mtu atakua aliolewa out of love!
 
Unajua ukiitwa profesa bana, kugonga mademu free khabisa. Haijalishi ni ndugu, au hata mama na mtoto wanajileta wenyewe teh teh teeeh! Si wanafata damu, eti na wao wawe na akili kidogo. Afu waboreshe cv zao "me nishatembea na profesa, na mbunge, na baba askofu, na...." ngoja na mimi niupate huo uprof........!
 

Swadakta umeongea sawa kabisa
 

Aisee!!!!!
 
Kwamba hao kina dada ni opportunists wawili.....kwamba....ntarudi!
 
ANkusubiri

Hapa kuna makosa DA....kwa watu watatu....
  1. Profesa kukubali 'kula' mtu na mdogo wake....
  2. Dada kumkuwadia mdogo wake kwa mme wa mtu
  3. Mdogo mtu kukabali kukuwadiwa na dadake kwa profesa (shemeji?)
Bottom line ni kwamba dada mtu anakosea kujihalalishia 'mafanikio' ya mdogo wake....wasiishi kwa kuendeleza makosa yao....wayafukie futi sita chini ya ardhi...na maisha yasonge.....
 

Makosa tayari yamefanyika sasa mdogo mtu afanyeje? Dada kampandia juu si tu kumkasirikai na kumtukana pia
 
Makosa tayari yamefanyika sasa mdogo mtu afanyeje? Dada kampandia juu si tu kumkasirikai na kumtukana pia

Ampandie na yeye huko juu....wakiteremka wataheshimiana.....
in fact hakuna apaswae kujivunia msaada ambao ni immoral....anasahau alimsaidia kuokoa ndoa yake pia????
 
Mshauri mdogo mtu awe na huruma kwa dada yake na ampatie anachokitaka kama pesa anazo maana kama ataendelea na kiburi laana itamfuata maana hakuna anayempikia chai Mungu na yeye hilo professor linaweza kumtosa kesho; sasa akasaidiwe na nani kama dada kamtukana?
 
Dah nimemaliza mzumbe kitambo kipindi hicho maprofesa walikuwa wa kuhesabu sana, lazima ningejua ni nani, kwa sasa wameongezeka so siwezi jua kama ni Kikuli, Nnkya, Kamuzora, Kuzilwa na wale wa ICT kina Muna dah..... Mkanye rafiki yako kuwa maprof hapo MU wana kuwa na mwanachuo zaidi ya mmoja, na ukimwi hapo chuoni ni tishio...mwambie mdogo wake akapime kama yupo fresh aachane na huyo dingi, kwa nini awe na kizee kisa mali??

Yaani huyo mtu na mdogo wake wote 0.
 



kwa hyo huyo mdogo mtu alizuga na prof kwa mda wa mwaka mzima mpaka mke wa prof anakufa au??
 

Kwa UKIMWI hawana sababu walishapima na wanamtoto mmoja ana miezi kama 8 hivi na walifunga ndoa ya serikali.

Asante kwa ushauri
 

Achasomea pesa anayotaka dada ni nyingi mno nae hana kwa sasa
 

Marehemu alikufa kwa Ngoma!! tali tili tala!! Alikufa kwa ngoma

YouTube - Alikufa kwa ngoma

By MwanaFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…