Dada na mdogo wake

Dada na mdogo wake

Dah!
Inawezekana huyo mdogo amemjibu dada yake kwa dharau.
Hebu ajishushe, ajue kuwa binadamu ni utu na pesa ni mapito tu. Kama anacho amsaidie, kama hana amweleweshe kwa namna nzuri.
Na huyo dada amesahau kuwa tenda wema uende zako. Ingawa hapo sijaona wema... Tabu tupu. Kama prof ana malaria kubwa wote washaidaka.
 
Haya sasa leo imeshaisha umemshauri nn?
 
Back
Top Bottom