Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,287
Unalialia nini wakati unatoka majasho hukuja kusema hapa, mrequestie uber huo ni wajibu wako, and wewe ndnaona hauna akiliImagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Nikupe namba yake au nimlete gheto kwako ? π₯΄π₯΄π₯΄Kama ndio huyu, basi ninge muachia gari nikaanza kuwa natembeza Kwa miguu mpaka gari yake ipone
π€£π€π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€π€£π€π€π€π€π€π€π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Watu wote hapa wako upande wa huyo mwanamke mwenye matako makubwa, acheni nyege wakuu, hizo ni nyege zinawasumbua.
Mshikaji hapo keshakojoa kwahiyo Hana Cha kupoteza, angekuwa hajakojoa angeenda hata kumchukua Kigamboni ampeleke kazini Kibaha halafu yeye arudi Mikocheni.
Sasa unataka vipaji vya kufananaNasikitika kusema kwamba haujafit bado mkuu.
Sasa si kipaji hiki mkuuπ«’We mwehu kweli π€£
Eti unarusha visu
Umesema kweli. UbinafsiHapo shida siyo kukosa akili tu, bali ni ubinafsi uliopitiliza. Yeye anaangalia shida yake tu ipate utatuzi, hafikirii kabisa gharama na usumbufu atakaopata mwenzake. Hana huruma na muda wako kabisa.
Kwani hiyo bolt yeye anashindwa kurequest?Sikuizi hakuna wanaume aisee,
Wale wanaume enzi za wazee wetu wenye vifua na uanaume sasahivi hawapo,
kwani akikulala tu anaenda kutangazia umma pale nimepiga,
Onq huyu haya umeshindwa ku mrequstia bolt
Unakuja kumtangaza huku demu wako ptuuuuuu
Usituchanganye wote kwa samaki mmoja alieoza dada tafadhali ntakupeleka mahakamani aisee sehemu nayopumzika nije nitangaze mtandaoni kisa nauli tu..Sikuizi hakuna wanaume aisee,
Wale wanaume enzi za wazee wetu wenye vifua na uanaume sasahivi hawapo,
kwani akikulala tu anaenda kutangazia umma pale nimepiga,
Onq huyu haya umeshindwa ku mrequstia bolt
Unakuja kumtangaza huku demu wako ptuuuuuu
Assume jamaa angekuwa yuko morogoro, huyo dada angeomba jamaa ampeleke kazini Au ungekuwa wewe kwa namna traffic ya Dar ilivyo wakati wa asubuhi ungeweza kutoa hiyo lift?Huwenda kipindi anavizia potassium alikuwa anafanya hivyo, na wengi huwa wanaifungia safari kabisa mpqka unabaki kumshangaa, sasa sijaona maajabu hapo mpaka huyo dada kumtafuta yeye means wanajuana!
Kula nyama nyamaza.Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
So namna ya kufanya huyo mwanamke anaijua lakini anataka jamaa ndo afanye sio?Wewe ndio hujatumia akili kwenye hili, mwanamke wako amekuambia gari limekataa kuwaka na umpe lifti, na wewe unaishi nae mbali, hujiongezi anataka ufanyeje, kwani yeye hajui kama unakaa mbezi na yeye yuko Tabata.....
Huu ni mzinga kama mizinga mingine, sema tu hayuko smart na ubinafsi wakeImagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Kwani ukisema ukweli unaishi Tabata Bima utapungukiwa na nini?Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Choma /kachome nyama hiyoImagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Mimi sijaona ulazima wa jamaa kumpeleka awajibike kama kumlipia bolt, kama hawezi pia sio dhambi, aache mwingine aliye karibu atafanya! Mambo mengine mna complicate sana!Assume jamaa angekuwa yuko morogoro, huyo dada angeomba jamaa ampeleke kazini Au ungekuwa wewe kwa namna traffic ya Dar ilivyo wakati wa asubuhi ungeweza kutoa hiyo lift?
So watu hawawezi kuhama?Kwani ukisema ukweli unaishi Tabata Bima utapungukiwa na nini?
Au ndio tabia za wana JF kila mtu anaishi mbezi na kufanya kazi Mikocheni!View attachment 3661017
Why you always want problems, π π πKwani ukisema ukweli unaishi Tabata Bima utapungukiwa na nini?
Au ndio tabia za wana JF kila mtu anaishi mbezi na kufanya kazi Mikocheni!View attachment 3661017
Washasema kitambo ni wewe tu husomi comments zoteChoma /kachome nyama hiyo
Anyway Hawajasema ni Chai?
Maana watu humu wana njaa kweli kweli