hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Hii dunia ipoje? Watu mnasimulia kila kitu ?
Itakuwa umemchoka tayari, sina mengi zaidi ya kusema kwamba utamkumbuka tu siku ukinyegeka vizuri!Amenikatisha tamaa sana.
Umeshamchoka mchoka tuu, labda kafanya hayo akijua ni mapenzi tu?? Labda anahamu kukuona, labda anataka kuona vile wampenda na kutunza ahadi zako? Huwez kumuhukumu mtu hana akili kwa hilo jambo ambalo limekaa kimapenzi zaidi. Kifupi wew ndie huna akili kuja na kumdhalilisha mwenzio humu.Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Visu noo Mkuu kizamani sana.Sasa unataka vipaji vya kufanana
Kama mnanipa chuma freshy!Visu noo Mkuu kizamani sana.
At least shabaha ya( gunshots) tungekuongeza.
Msamehe ,hao watu(% kubwa) wanaendeshwa kwa hisia na si akili ,angekuwa ana akili ni bora angesema umlipie Bolt maana hao watu(% kubwa) wanapenda KITONGA sana ,unaweza ukakuta account yake ya Bank ina hata 5m lakini kuchukua Bolt kwa hizo siku ambazo gari yake inachangamoto anaona ubahili wakati huko anapoenda kazini ndipo panapompatia fedha.Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Wapuuzi wa hivyo wapo wengi tu.Hii dunia ipoje? Watu mnasimulia kila kitu ?
Ukiwa new comer lazima tujue historia yako mkuu.Kama mnanipa chuma freshy!
Mimi niko feshy tu mkishaniweka kwenye kitengo lazima mnijue A-zUkiwa new comer lazima tujue historia yako mkuu.
Usije ukawa kipenyo.
Jamii yetu imekamilika.Hii dunia ipoje? Watu mnasimulia kila kitu ?
Toa hela hizo apande bolt mnajua kuwala tu na kuja kulalamika humu kweli wanaume tumebaki wachache sana. Weka namba yake hapa nimtumie laki 2
Watu wote hapa wako upande wa huyo mwanamke mwenye matako makubwa, acheni nyege wakuu, hizo ni nyege zinawasumbua.
Mshikaji hapo keshakojoa kwahiyo Hana Cha kupoteza, angekuwa hajakojoa angeenda hata kumchukua Kigamboni ampeleke kazini Kibaha halafu yeye arudi Mikocheni.
Tukisema hapa manabisha.
hakuna mwanamke asiyetaka pesa direct or indirect.
Sasa hapo dada kakwamwa kakujulisha kakwama msaidie mchukulie bolt, huna best aliye upande huo ampe lift??¿
mtumie pesa apande usafiri.
mimi kama dada yako huyo manzi kukwambia hivyo kamaanisha wewe anakuthamini sana, anakuona ni protector wake pia kiongozi umepewa nafasi kubwa unalalama eti hana akili.
Zaa mwenye akili muelekeze akikua muoe.
Nitumie Elfu 50 schukue Bolt ya kumpelekea na kumrudisha.Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Kwani ukisema ukweli unaishi Tabata Bima utapungukiwa na nini?
Au ndio tabia za wana JF kila mtu anaishi mbezi na kufanya kazi Mikocheni!View attachment 3661017