Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Umesema mtamu? That’s means mko mapenzini, usafiri wake sio mbovu wala sio hana akili, amezama kwako, amekumisi na anataka kuwa karibu yako anatengeneza sababu za kuonana na wewe, sasa hapo nini usichokielewa???
Vijana kila kitu tuwafundishen?
 
Ukifikiria "in a poitive way" wewe kama mwaname ndio una shida.
hapo dada hajaomba lifti, ILA aliomba msaada wa mawazo wanamna rahisi ya kufika kazini
Ungeweza kumpa plan ya either
1. Mtu wa kumsaidia kuiwasha gari yake
2. Ungemshauri usafiri mbadala; kama Indrive/Bolt nk au kama huna hela ya kumwitia UBA ungemshauri achukua mwenyewe.
Pamoja na kuwa nipo zangu Shytown, naweza kuwa wa msaada kuliko wewe....
SIFA MOJAWAPO YA MWANAMME NI KUWA NA UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO!
Huyo mwanamke haitaji vyote hivyo, anataka tu kumwona jamaa yake hana lolote
 
Umesema mtamu? That’s means mko mapenzini, usafiri wake sio mbovu wala sio hana akili, amezama kwako, amekumisi na anataka kuwa karibu yako anatengeneza sababu za kuonana na wewe, sasa hapo nini usichokielewa???
Vijana kila kitu tuwafundishen?
Wafundisheni kwakweli wanatia aibu😅
 
vijana wanapotea kwa kukosa maarifa,
Jambo dogo kama hili ni la kuleta jf kweli?
Nachoka mimi kijana wa zaman
Siku hizi hata ukimjambia unaanzishiwa uzi, usichoke bado mapema sana🥺
 
mtumie laki2 mama yako anakula dagaa zinaongeza uric acid chanzo cha ugonjwa wa figo mimi ni nabii nb nisamee kwa kusema hivi
Nipe namba ya mama yako nimtumie nipajue na kwenu mwanangu
 
Back
Top Bottom