wanawake ndivyo walivyo mkuu.. huyu nipo napiga nae story ananiambia yeye kujinunulia kinywaji roho huwa inamuuma sana yaani pesa yake kuitoa kujinunulia kinywaji moyo unauma, kwa hiyo akikaa sehemu anasubili anunuliwe na asipo nunuliwa anakunywa maji anaondoka....Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Jf...Huzuni sana.Ulimtoa wapi?
Dah!Basi ana bahati "mubaya"!Jf...
Za ndani kabisa
Ungeweka na picha YakeImagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?
Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.
Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.
Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..
Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.
Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Ausio!!!
wanawake ndivyo walivyo mkuu.. huyu nipo napiga nae story ananiambia yeye kujinunulia kinywaji roho huwa inamuuma sana yaani pesa yake kuitoa kujinunulia kinywaji moyo unauma, kwa hiyo akikaa sehemu anasubili anunuliwe na asipo nunuliwa anakunywa maji anaondoka....View attachment 3664409
Ko hapo ni sawa kuomba lifti hiyo itakua ninlift kwani.!!?Maisha ni kusaidiana mkuu!
We mwenyewe huna akili jambo dogo hivyo umeshindwa kufanya calculation,,hapo alimaanisha umlipie bolt!we vipi bhana
Acha afanye hivyo kwa kweli. Itanipunguzia mengi. Huwajui wanawake hata uwe unampeleka na kumchukua kila siku. Kuna siku ataliwa na dereva wa Daladala au Fundi nguo.Shukuru MUNGU anafanya hta hvo... Angempigia side kichwa atoke chalinze ampeleke posta na jioni amfate ingekua chap Kwa... Anajali uwepo wako
We mwenyewe huna akili jambo dogo hivyo umeshindwa kufanya calculation,,hapo alimaanisha umlipie bolt!we vipi bhana
Another Proof yaani akishakuwa na matako Tu hata awe na PhD ni bure kabisa.
Kwanza unaishije Kifuru huko karibu na kisarawe na ufanye kazi Posta? Hata kama Una gari hizo gharama zake kwa siku ni nyingi Sana.
Na hapo hapo hela ya betri Tu ni mtihani🤣🤣
Halafu wa kiume🙆♂️Hii dunia ipoje? Watu mnasimulia kila kitu ?
Kwanini yeye asitumie akili yake akafika kazini kwake?Wewe ndio hujatumia akili kwenye hili, mwanamke wako amekuambia gari limekataa kuwaka na umpe lifti, na wewe unaishi nae mbali, hujiongezi anataka ufanyeje, kwani yeye hajui kama unakaa mbezi na yeye yuko Tabata.....