Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Ungemlipia bolt mdau kama ni asali yako mkuu.
Ama anaku miss, she wants to be with you all the time, kifupi mdau una bahati, hawa viumbe nenda nawo ado ado, ishi nawo kiakili, Wana mihemko, hisia na mapenzi ya ajabu sana mdau...
Hahahahaha

Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
 
Itakuwa umemchoka tayari, sina mengi zaidi ya kusema kwamba utamkumbuka tu siku ukinyegeka vizuri!
Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
 
Umeshamchoka mchoka tuu, labda kafanya hayo akijua ni mapenzi tu?? Labda anahamu kukuona, labda anataka kuona vile wampenda na kutunza ahadi zako? Huwez kumuhukumu mtu hana akili kwa hilo jambo ambalo limekaa kimapenzi zaidi. Kifupi wew ndie huna akili kuja na kumdhalilisha mwenzio humu.
Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
 
Msamehe ,hao watu(% kubwa) wanaendeshwa kwa hisia na si akili ,angekuwa ana akili ni bora angesema umlipie Bolt maana hao watu(% kubwa) wanapenda KITONGA sana ,unaweza ukakuta account yake ya Bank ina hata 5m lakini kuchukua Bolt kwa hizo siku ambazo gari yake inachangamoto anaona ubahili wakati huko anapoenda kazini ndipo panapompatia fedha.
Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
 
Nitumie Elfu 50 schukue Bolt ya kumpelekea na kumrudisha.

Haya ndiyo mambo ninayojiepusha nayo kuwa na ukaribu na kiumbe Mwanamke

Mwanamke ukishajenga nae ukaribu tu lazima hela ikutoke, Mimi sitaki hela initoke Nina ujenzi
Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
 
We mwenyewe huna akili jambo dogo hivyo umeshindwa kufanya calculation,,hapo alimaanisha umlipie bolt!we vipi bhana
Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
 
Ukifikiria vizuri utagundua kuwa wewe ndio hauko sawa...
hapo dada hajaomba lifti, ILA aliomba msaada wa namna rahisi ya kumfikisha kazini.
Ungeweza kumpa plan ya either
1. Mtu wa kumsaidia kuiwasha gari yake (ili baade umsaidie kupata Battery Mpya)
2. Ungemtafutia usafiri mbadala; Indrive/Bolt nk kama huna hela ya kumwitia BOLT ungemshauri achukua mwenyewe.
Pamoja na kuwa nipo zangu Shytown, naweza kuwa wa msaada kuliko wewe....
SIFA MOJAWAPO YA MWANAMME NI KUWA NA UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO!
Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
 
Huo ndio UWAJIBIKAJI sasa Mkuu.......Tuma Mobile Money hapo Mtoto achukue Bolt mara Moja....
 
Anafanya kazi, ana mshahara zaidi ya Milion 2 kwa mwezi, hana majukumu, ana ofisi nyingine pembeni ukiacha kazini ambayo nlishawahi msaidia huko. Akose pesa ya kulipia bolt kwenda kazini? Alale mbele sitaki shida.
Duh...naomba namba zake nimuendee kwa Muganga Kila Mwezi Mshahara wake niupate Mimi...ili niishie vizuri Mjini
 
Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi?

Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town.

Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni.

Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado. Anasema nataka unipe lift mi gari leo imekataa kuwaka..

Yaani nitoke Mbezi Makonde, niende Tabata Kifulu nimpitie nimpeleke Posta Town. Kisha niende kazini kwangu Mikocheni.

Na yupo serious kabisa. Nimegundua hana akili. Amefanikiwa tu kupata shape na sura nzuri of course mtamu pia ila kichwani hamna kitu. Mtu mwenye akili nzuri asingewaza hilo jambo. Amenikatisha tamaa sana.
Huna future nae tu. Mbona ungetoka om saa kumi Ili ukamdrop Kisha uende kazini?
 
Back
Top Bottom