Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

Mrequestie uber! Au hela huna?
 
Mimi sijaona ulazima wa jamaa kumpeleka awajibike kama kumlipia bolt, kama hawezi pia sio dhambi, aache mwingine aliye karibu atafanya! Mambo mengine mna complicate sana!
Umenena vyema blaza😂
 
Mtumie senti achukuwe UBA!
 
Assume jamaa angekuwa yuko morogoro, huyo dada angeomba jamaa ampeleke kazini Au ungekuwa wewe kwa namna traffic ya Dar ilivyo wakati wa asubuhi ungeweza kutoa hiyo lift?

Kwa usafiri wa dar ni ngumu sana aisee huo mzunguko
 
Why you always want problems, 😅😅😅

Nikiwa mkubwa niwe kama wewe kuamka asubuhi na Kuchagua var
Yani huyu jamaa acha tu tumstahi.

Kununua TV ya mana tu hawezi TV yake inawaka na kuzima halafu anakuja kutufunga kamba eti anaishi Mbezi na kumiliki gari!

Na asije kukudanganya sijui alihama Tabata akaamia Mbezi ni uongo mkubwa tunamuelewa kuliko anavyojielewa mwenyewe.

Tutaweka VAR yake nyingine.

The Icebreaker
 
Ungemlipia bolt mdau kama ni asali yako mkuu.
Ama anaku miss, she wants to be with you all the time, kifupi mdau una bahati, hawa viumbe nenda nawo ado ado, ishi nawo kiakili, Wana mihemko, hisia na mapenzi ya ajabu sana mdau...
Hahahahaha
 
So watu hawawezi kuhama?
Epuka matapeli mjini.

Huyo namjua vizuri tu hana uwezo wa kukaa mbezi na kumiliki gari.

TV yake tu inawaka na kuzima anashindwa kununua mpya ndo amiliki gari?

Huyo kuna mitego yake kaitega.
 
I want problems , always
 
NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA

WWE NA HUYO MWANAMKE AKILI ZENU ZINAENDANA.
 
Hii imenifanya nilie sana..kwamba bwana bambo kashindwa kujiongeza
 
Nipe namba Yake tuuze Gari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…