Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

B sio jibu langu. Kwa maelezo ya mwandishi ni kwamba alitoa kwa hiari hakumlazimisha.
Hata aliyetorokwa, nae hotelini alikuja kwa hiari hakulazimishwa.

Kama kumtumia mtu pesa kwa hiari ili aje hotelini na asije sio unyama... Basi, hata akija kwa hiari, akitorokwa pia sio unyama!

Kwa nini mnataka nyie tu ndio muonekane mnatendewa unyama?

Kunya anye kuku tu, akinya bata ameharisha?!
 
Duhh ! Wazee wa ku revenge. Naona umechukua point zote 3 mkuu.

Fundisho kubwa kwa wanawake wasiojitambua, mwisho wa siku sehemu za Siri ndio zinazoumia. Tamaa ni mbaya
 
Umetisha

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha..sawa sawa

Kwanza wajue cha mtu mavi...na cha mtu hakiliwi bure
 
Hahahahaha..sawa sawa

Kwanza wajue cha mtu mavi...na cha mtu hakiliwi bure
Wanawake wanapenda sana kuplay victim...

Hannah yeye hajaona shida mtu kusafiri toka Dar hadi nzega halafu kapotezewa...

Hajaona mara kibao alizotumiwa nauli kisha kazima simu...

Hajaona hata pesa za mtaji alizopewa then kaanza madharau..,

Eti alichoona yeye ni ukatili ni kuachwa hotelini tu na nauli umeshapewa!

Hata kama tunachangamsha genge, hebu tujaribuni kuwa serious kidogo.
 
Duhh ! Wazee wa ku revenge. Naona umechukua point zote 3 mkuu.

Fundisho kubwa kwa wanawake wasiojitambua, mwisho wa siku sehemu za Siri ndio zinazoumia. Tamaa ni mbaya
Mimi sijaona hata alicho revenge hapo, ni nini sasa? Kumpa 30,000 na kumuacha hotelini ndio kurevenge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…