Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Kumbe ndio maana mimi sipati demu, mwanamke tu unamhangaikia purukushani zote hizo? (No offense intended).

Mimi ukizima simu mara moja tu biashara imeisha, huwa siendani na wale wanaoplay hard to get.

Intelligent businessman , can you play all the drama played by Chizi Maarifa ?
Never brother, huo muda ni mwingi, na hata hivyo vitendo sivi husudu
 
Never brother, huo muda ni mwingi, na hata hivyo vitendo sivi husudu
Ni kweli, hii stori haina uhalisia.

Ni mara chache sana kuendelea kushughulika na mwanamke ambae zaidi ya mara mbili, unatuma nauli anazima simu.

Kwani ana nini cha mno, ambacho wanawake wengi tu walio wiling kuja hawana?
 
Back
Top Bottom