Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Ha ha ha... Hawa mademu wanatuona sisi mafala sana hasa tunapoamua kuwa good men.
Hawajilewi, tunapojaibu kuwa Gentelmen, ndiyo vizinga vinakuwa vingi. Yani wanakugeuza ATM. Mbaya zaidi wanavyokufanya ATM chenga ndiyo zinazidi pamoja na maneno ya mkato na ya Shombo.

Huyo mwanamke alistahili kabisa na amepata funzo kubwa sana. Kazi Nzuri sana hyo, tena nimependa hapo hadi rinda kuchanika kidogo.
 
Hahahahahahaha..sawa sawa
 
Mpaka sasa uzi una saa zaidi ya nne na mtu ameandika vitu kinyume na maadili yetu hususani kumwingilia binadamu mwenzake kinyume na maumbile halafu ma moderators wanauangalia tu,sema nini kuna roho shetani anaipandika kupitia JamiiForums ndio maana ndoa inachukiwa sana humu,wale wacha Mungu tunakazi ya ziada.
 
Kama wapo wanaowatesa basi ni kheri mkuu.pole
Kumbe ndio maana mimi sipati demu, mwanamke tu unamhangaikia purukushani zote hizo? (No offense intended).

Mimi ukizima simu mara moja tu biashara imeisha, huwa siendani na wale wanaoplay hard to get.

Intelligent businessman , can you play all the drama played by Chizi Maarifa ?
 
Back
Top Bottom