Ulilazimisha sana!
Safari ya kwanza ingetosha kabisa kukukatisha tamaa na kutoendelea!!
ungeepuka visasi visivyo na maana!! Wahivyo una mwacha kama alivyo!!
Mimi naamini first impression Kwa mtu yeyote kwangu,hiyo ndio Ina define future kwenye mahusiano yenu yajayo!!
akikudharau TU,usije jaribu Tena kuwa nae hata kama akirudisha moyo tena!!
first impression speaks volumes !!
siku nyungine usirudie hiyo coz unaongeza idadi ya maadui kiroho ambao roho zao zikikulilia zitaathiri hatma yako somewhere in universe!!