Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Chizi Maarifa ni hewa😂😂😂Nilivoskia Tigo tuu nikasema hamna mtu hapa.
Japo vita yake nimwipenda, wakorofi tunasema ni sawa tu😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi Maarifa ni hewa😂😂😂Nilivoskia Tigo tuu nikasema hamna mtu hapa.
Hawajilewi, tunapojaibu kuwa Gentelmen, ndiyo vizinga vinakuwa vingi. Yani wanakugeuza ATM. Mbaya zaidi wanavyokufanya ATM chenga ndiyo zinazidi pamoja na maneno ya mkato na ya Shombo.Ha ha ha... Hawa mademu wanatuona sisi mafala sana hasa tunapoamua kuwa good men.
Sasa watu wanatoa mitaji kwa kupita barabara ya Vumbi.Kumbe mnatoaga hela za mitaji na hamsemi??
Hahahahahahaha..sawa sawaHawajilewi, tunapojaibu kuwa Gentelmen, ndiyo vizinga vinakuwa vingi. Yani wanakugeuza ATM. Mbaya zaidi wanavyokufanya ATM chenga ndiyo zinazidi pamoja na maneno ya mkato na ya Shombo.
Huyo mwanamke alistahili kabisa na amepata funzo kubwa sana. Kazi Nzuri sana hyo, tena nimependa hapo hadi rinda kuchanika kidogo.
Hii ni chaiwe mtu kahamia Shy unamuitia nzega.
Dada yangu hali nauli za watu. Yupo very independent so kama anafanyiwa hivyo kwa maamuzi yake tu ambayo siwezi yaingilia au zuia.''bLaZa sToli yAko inaVutIa LaKiNi iGeuZe kIdOGo jE, AKiFanYiwa dADa yAKo HivYO utAfUlai'?'
Nawasilisha.
Sababu nini?Sijaskia vibaya!
Haki vile 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Tako lilimzingua kijana[emoji23][emoji23]Ndo nawashangaa mtu unatuma nauli mara ya kwanza unapigwa halafu unatuma tena mara ya pili.
Unamsubiri mtu aje haji, unarudia tena siku nyingine..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Sijui akili zenu huwa zinaendaga wapi nyie watu.
Mimi nmeonja na nimeachia pale pale siku ile ile... Wakati flani wazee tunalazimishwa kuwa vijana.Uzee unatuepusha na mengi sana mzee mwenzangu. Nasikia ukionja ndio huachiii🤣
Kastory tu katamuSababu nini?
Kumbe ndio maana mimi sipati demu, mwanamke tu unamhangaikia purukushani zote hizo? (No offense intended).Kama wapo wanaowatesa basi ni kheri mkuu.pole