Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

🤣🤣🤣ninachofurahi ni kwamba mapenzi hayana mwenyewe mkuu....ukiliza huku utalizwa kule...yaan tafrani
 


Tafute hela Kijana, hata chumba cha 50,000 kupanga kinakushinda?
 
Jibiidishe Dogo, matusi hayanipi shida maana hayanipunguzii pesa, wewe fanya kazi acha ku fantasize
Najibidiisha mama kubwa sisi madogo mnatuona hatupaswi kuwala nyie sababu hatuna pesa. Tutapata tu. Ila tukipata nafasi kama hizi tunatumia vizuri. Sasa endelea kula nauli uone moto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…