Dada niliyekutana naye JF akawa mpenzi, leo tumetendana vibaya

Safi sana .huyo ni mshamba
Tu
 
Mi hata sikuonei huruma. Unatuacha sie majirani zako tupo ambao hatuna mambo ya kidwanzi unaenda kupigwa na demu wa kisukuma...
Nasema hiviiiii na upigwe tena mara ya pili..🤣🤣🤣🤣
Hunionei huruma? Nyie majirani basi mhusike kunipoza moyo.
 
Ashaniona mara kadhaa mimi fala. Acha tuwekane alama akilini.
 
Ndo nawashangaa mtu unatuma nauli mara ya kwanza unapigwa halafu unatuma tena mara ya pili.

Unamsubiri mtu aje haji, unarudia tena siku nyingine..😀😀😀😀. Sijui akili zenu huwa zinaendaga wapi nyie watu.
K ina nguvu sana. But nilikuwa najua kuwa kuna siku mjanja hujisahau tu. Huwezi kula nauli ya mtu kila siku usiliwe vibaya. Nlishaamua kuwa fala ili nije kulipiza. Ashanisumbua sana huyo demu. Na ninataka ajitokeze hapa. Ajibu kitu.
 
Upo sahihi. Na waambia wadada waepuke sana wale wanaume ambao hata mkitutukana na kutukashifu haturudishii. Epukeni hao wanaume revenge zao ni mbaya. Mimi nishawahi ambiwa mpaka ni kibamia, kuna dada aliwahi nitukana sana baada ya kuachana naye. Nikawa namwambia tu nisamehe love. Tusiachane kwa ugomvi mi bado nakupenda. Akanitukana sana.

Miezi kadhaa nikaanza tena msalimia. Siku hiyo hakujibu nikamtumia tsh 10,000 ya voucher. Akaanza kujibu. Tukaja rudiana. Mi sms zake siku delete hata moja. Nlichokuja mfanyia hawezi sahau. Mpaka leo nikimpigia tu leta papuchi sehemu flani. Anakuja. Na ni mke wa mtu mmoja mzito tu. Ila ameshakuwa mtumwa. Mwaka jana tu ndo nikamwambia sasa nimeamua kukusamehe.
1. Mwanaume hupoteza pambano day one ...ujue haijaisha atapanga pambano lingine ili awe mshindi.

2. Vita vya mwanaume ni vibaya mno lazima ashinde, ukimpiga leo akawa mpole ahtuka sana.🤣🤣
 
Hapana. Hizo safari nyingine nlikuwa naunganishia za kikazi. Moja tu ambayo nlitoka Dar to Nzega kwa ajili yake. Nyingine zilikuwa za kikazi ila namuungia kuwa naenda for her.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…