Dada poa ni wahalifu? Na wanakamatwa kwa kosa gani ambalo linajulikana kisheria?

Joined
Jun 8, 2016
Posts
13
Reaction score
23
Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka kujua hili swala kisheria likoje
 
Vipi nawe ni dada poa au una ndugu dada poa?

Maana u dada poa una haribu maadili, baadhi hawa oni hata haya Wana vaa hovyo mbele ya watoto.

Usalama wa kiafya pia, maana yake matakataka Yao wana tupa wapi?

Tatu udada poa sio biashara inayo kubalika nchini
 
Screenshot_20250228-094300.png
 
Pascal Mayalla mwanasheria mbobevu anaweza kukupa mwanga hapo.
Mkuu Vishu, Vishu Mtata , kwanza acha utata, ila asante kunitonya
Habari Wana JamiiForums Napenda kujua hili suala la dada poa al maarufu Malaya hapa kwetu kumekuwa wakikamatwa nakupelekwa police ila sijawahi sikia hukumu zao zikitolewa mahakamani sasa nataka kujua hili swala kisheria likoje
Mkuu KisiwaChaJagwani , kiukweli kuwakamata dada poa ni kuwaonea bure!, hakuna ubaya yoyote mtu kuutumia mwili wake, kupata kipato chochote, tatizo Tanzania, hii biashara ya kuuza mwili, kwa Tanzania sio biashara halali, lakini kwa nchi za wenzetu ni kazi halali na wanalipa kodi!.

Hawa dada poa wanaokamatwa, wanashitakiwa kwa kosa la uzururaji, loitering, japo wengi huwa wanakamatwa, wengi humalizana na polisi kwa kuwahudumia, au kuwagawia mgao wao, kidogo, hivyo hao wote wanaofikishwa mahakamani, ujue ni wale ambao ni apeche alolo kabisa, wameshindwa kumalizana na wakamataji. Ila wengi wakiishafikishwa mahakamani, hupelekwa gerezani, huko humalizana na ma bwana jela na kuachiliwa!.

Kwa msio jua, hii ndio biashara kongwe kuliko biashara zote zote duniani, na biashara ya huduma hizo ndio biashara kubwa kuliko biashara zote, na ajira ya kutoa huduma hizo ndio ajira kubwa kuliko ajira zote duniani!.

Mtu wa kwanza kuzindua biashara hii ni mama yetu EVA , alimuuzia shetani huduma hiyo, kwa malipo ya kumegewa lile tunda, na Eva akampelekea tunda Adamu na sio tuu kumfundisha jinsi tunda linavyomegwa, bali kumlazimisha kulimega tunda hilo ambalo Mungu , Mungu aliwakataza kulimega!.

Mpango wa Mungu, ilikuwa ni kumuumba mwanaume tuu, alipoona si vema mwanamume kuwa peke yake, akamuumbia mwanamke ili awe msaidizi wake na jukumu lake kuu ni kutoa huduma hiyo!.

Wanawake wote walioolewa, kinachofanya waolewa ni ili kutoa huduma hiyo!. Ile mahari inayolipiwa, ni mahari ya kulipia huduma hiyo kwa mtu kununua huduma kwa bei ya jumla, hivyo wanawake wote walio olewa, hao wamepata bahati ya kumpata mteja mmoja, aliyenunua huduma yake kwa bei ya jumla, hivyo yeye kuwa mke mwaminifu kwa kumuuzia bidhaa yake mteja mmoja tuu!.

Hao dada poa, wao hawajapata bahati ya kupata mteja mmoja wa kununua bidhaa yao kwa bei ya jumla, hivyo kulazimika kupeleka sokoni bidhaa yake, na kuuza kwa reja reja kwa wateja tofauti tofauti.

Mimi nimewatetea sana wadada hawa Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana.

P
 
Bora nilikutag, umejibu vyema mkuu. Ahsante.
 
Back
Top Bottom