Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Habari Wana JF,mambo yanazidi kuwa magumu!Wanancnhi wa wilaya ya Uyui,wamelalamikia madada poa ambao hupitapita kutafuta wateja huku wakiwa wamevaa nguo zisizo na Heshima.
Pia wameonyesha wasiwasi wao kwa watoto wanakuwa wanajifunza Nini wawaonapo na nguo zisizo na staha?!
Kwa kukazia mkuu wa wilaya hiyo,amemwagiza OCD,waondoke kwenye shghuli hiyo ndani ya masaa24,La sivyo washughulikuwe kisheria.
Chanzo:ITV_Taarifa ya Habari .