Dada poa wapigwa marufuku wilaya ya Uyui.

Sasa kama mnawanunua wenyewe na mnawalipa gunia moja la mpunga kwa kulala naye usiku mmoja kwanini wasije.Hapo suluhu wasukuma na wanyamwezi kuacha ushamba.
 
Habari Wana JF,mambo yanazidi kuwa magumu!Wanancnhi wa wilaya ya Uyui,wamelalamikia madada poa ambao hupitapita kutafuta wateja huku wakiwa wamevaa nguo zisizo na Heshima.
Pia wameonyesha wasiwasi wao kwa watoto wanakuwa wanajifunza Nini wawaonapo na nguo zisizo na staha?!

Kwa kukazia mkuu wa wilaya hiyo,amemwagiza OCD,waondoke kwenye shghuli hiyo ndani ya masaa24,La sivyo washughulikuwe kisheria.

Chanzo:ITV_Taarifa ya Habari .
Dada poa ni mfupa uliomshinda kila aliyejaribu kuutafuna nchi nzima
 
Habari Wana JF,mambo yanazidi kuwa magumu!Wanancnhi wa wilaya ya Uyui,wamelalamikia madada poa ambao hupitapita kutafuta wateja huku wakiwa wamevaa nguo zisizo na Heshima.
Pia wameonyesha wasiwasi wao kwa watoto wanakuwa wanajifunza Nini wawaonapo na nguo zisizo na staha?!

Kwa kukazia mkuu wa wilaya hiyo,amemwagiza OCD,waondoke kwenye shghuli hiyo ndani ya masaa24,La sivyo washughulikuwe kisheria.

Chanzo:ITV_Taarifa ya Habari .
chanzo: ITV/Radio one, taarifa ya habari. Hawa madadapoa mbona wapo katika miji mingi tu tena mpaka vijijini, hali ni ngumu hakuna ajira, hawana ujuzi, hawana ndoa!
 
Wanatembea nusu uchi mchana kweupeeeee, wakazi wa hapo wanalalamikia maadili kwa watoto wao
ehe, sheria inasemaje c kila mtu ana haki ya kufanya chochote anachotaka? Niambie sheria gani inakataza uvaaji wa nguo fupi. Tunaacha kudeal na mashoga,ndoa za jinsia moja, tunadeal na hawa watu wanaojitafutia riziki zao kutokana na ukosefu wa ajira nchini?
 
Wee uko Timamu?

Ko madada poa na makahaba ni halali, ila Ushoga ni jinai? Hivi huu unafiki utawaondoka lini? Lol

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom