Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Làzima mkuu iwe guest house hata vichakani!Wilaya ya uyui bado haijachangamka, hiyo sehemu anayoisemea hata guest tatu hazifiki.. 🙂🙂.
Ndio nimeamini!Kwa hiyo na wewe umeamini hilo katizo?
Kweli hawawezi kwisha!Wapo watakuwepo
Mambo magumu!Hatari sana
Ni kweli mkuu,wangewapa mitaji na mambo yaende!Badala ya kutoa tamko wakamatwe na kushughulikiwa, angewasaidia kuwaunganisha then kuwapa hata mitaji ile ya almashauri ili wajikwamue kiuchumi. Wengi hapo shida kuu ni uchumi. Ukiwaondoa Uyui wataenda mji mwingine. Unahamisha tatizo sio kusolve tatizo.
Wanatembea nusu uchi mchana kweupeeeee, wakazi wa hapo wanalalamikia maadili kwa watoto waoUtagunduaje kuwa huyu ni dada poa?
Na uwanja mwingi kwenye kope na miondoko isiyo ya kawaida!Wanatembea nusu uchi mchana kweupeeeee, wakazi wa hapo wanalalamikia maadili kwa watoto wao
Kwa vichani labda mkuu... Uyui ipo local sanaaLàzima mkuu iwe guest house hata vichakani!
Biashara ya dada poa haiwezi kuisha wala kupungua bali inazidi kuongezeka tu.Ndio nimeamini!