Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
hatareeeyaani swali la kwanini umenipenda kwanni umenichagua waulizane watu washaoana huowako na anniversary za kutosha sasa mtu hamjaoana, hamjachumbiana mpo katika harakati za kunjunjana unauliza kwanini umenipenda woooi
sijui ndo wanakua wanakosa vya kuongeahatareee
penzi limenoga anaogopa kujitoa full akaachwasijui ndo wanakua wanakosa vya kuongea
Thread closed.yaani swali la kwanini umenipenda kwanni umenichagua waulizane watu washaoana huowako na anniversary za kutosha sasa mtu hamjaoana, hamjachumbiana mpo katika harakati za kunjunjana unauliza kwanini umenipenda woooi
hayo ni yatokanayo hayakwepekipenzi limenoga anaogopa kujitoa full akaachwa
amesoma amechekahayo ni yatokanayo hayakwepeki
mwambie amchatishe mpenzi wake matusi π π π au biashara swala la ulinipendea nini aachane nalo kabisaamesoma amecheka
Mwamba yupo sawa hilo swali ni kero πkuna ukweli kwenye hili analosema huyu mwamba?
Watu tupo anniversary ya 26 katika ndoa na hatujawahi kuulizwa swali la kijinga kama hilo.watu washaoana huowako na anniversary za kutosha sasa mtu hamjaoana, hamjachumbiana mpo katika harakati za kunjunjana unauliza kwanini umenipenda woooi
YaaaaniWatu tupo anniversary ya 26 katika ndoa na hatujawahi kuulizwa swali la kijinga kama hilo.
Huyo mdada ni kimeo π
Sauwamwambie amchatishe mpenzi wake matusi π π π au biashara swala la ulinipendea nini aachane nalo kabisa
Ila kuna maswali ya kijinga mkeo anakuulizaga na humwoni kimeo maana ushalibeba meo lako sio?Watu tupo anniversary ya 26 katika ndoa na hatujawahi kuulizwa swali la kijinga kama hilo.
Huyo mdada ni kimeo π
Huyo nae akajitafute ajipateYaaaani