mbona watu kila siku tuko angani uyo dada akutegemea katika maisha yake kusafiri
anadai atafanya collabo na jlo,kweli huyu dada hamnazo anabebwa na promo za wafu fm anajiona mwanamuziki
mbona watu kila siku tuko angani uyo dada akutegemea katika maisha yake kusafiri
kila siku?? Kwa ndege ipi.... Made by Mzungu au made by sisi?
kila siku?? Kwa ndege ipi.... Made by Mzungu au made by sisi?
Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.
Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview huachi kujisifia. Umerudi Marekani nayo shida, jana kwenye radio mpaka kero, mara mi mzuri mara hiki mara kile, mbona wenzio kila cku wana kwea pipa lakini hawajisifii dada angu.
JIREKEBISHE BANA..
Sasa ungemuona hiyo siku aliyo "perform" hapa Washington ndio ungechoka.....eti anatuuliza sisi washabiki ''mie mzuri sio mzuri"? "nimewazidi waamerica sijawazidi"? "mie ni mzuri na nimeshushwa na Mungu"
Bahati yake sana alikuja na masanja aliyejitahidi sana kuua so kila alipokuwa anasema pumba zake. Bahati yake show yenyewe ilikuwa bure, otherwise tungemdai kiingilio.
Ushamba unamsumbua, na maisha ya dhiki aliyo kulia yanachangia