Dada Shilole kwa hili hapana..!

Dada Shilole kwa hili hapana..!

Rahma2

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
40
Reaction score
8
Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.

Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview huachi kujisifia. Umerudi Marekani nayo shida, jana kwenye radio mpaka kero, mara mi mzuri mara hiki mara kile, mbona wenzio kila cku wana kwea pipa lakini hawajisifii dada angu.

JIREKEBISHE BANA..
 
kwani huwa anajitapa wapi!!!!!!!!

mwacheni ajitape,is the least she can do
na wewe pia haukatwazi
 
mbona watu kila siku tuko angani uyo dada akutegemea katika maisha yake kusafiri
 
mbona watu kila siku tuko angani uyo dada akutegemea katika maisha yake kusafiri siyo makosa yake
 
kusafiri nje ya nchi tuu ndio kweke mafanikio? nothing else?
 
Duuh maendeleo na mafanikio ni subjective term kwakweli.....
 
we mwache aendeleze maringo yako....RAY C anakuja kumzima kiherehere
 
kumbe ana shobo na pipa ngoja wambebeshe ngada km aggy
 
anadai atafanya collabo na jlo,kweli huyu dada hamnazo anabebwa na promo za wafu fm anajiona mwanamuziki
 
Ni kwel wewe ni star nakubali, lakini ishu ya kujitapa ukienda ng'ambo sio dada yangu unajishusha hadhi yako.

Ulienda south kipindi kile, ulivyorudi ilikuwa shida, kila ukifanyiwa interview huachi kujisifia. Umerudi Marekani nayo shida, jana kwenye radio mpaka kero, mara mi mzuri mara hiki mara kile, mbona wenzio kila cku wana kwea pipa lakini hawajisifii dada angu.

JIREKEBISHE BANA..

Sasa ungemuona hiyo siku aliyo "perform" hapa Washington ndio ungechoka.....eti anatuuliza sisi washabiki ''mie mzuri sio mzuri"? "nimewazidi waamerica sijawazidi"? "mie ni mzuri na nimeshushwa na Mungu"

Bahati yake sana alikuja na masanja aliyejitahidi sana kuua so kila alipokuwa anasema pumba zake. Bahati yake show yenyewe ilikuwa bure, otherwise tungemdai kiingilio.
 
Teh teh teh mngemkabidhi NIGGA mmoja ahangaike nae!
 
Ushamba unamsumbua, na maisha ya dhiki aliyo kulia yanachangia
 
Back
Top Bottom