Dada tafuta hela, kuolewa siyo ajira

Asilimia ngapi ya wanaume hapa Tanzania wana kipato kizuri cha kuwapa wanawake ndoa za ajira?
 
Yaani. Acha kabisa.

Hapo hapo mwanamke asipoolewa ili atafute hiyo hela kwanza siku akitaka kuolewa watamuita gume gume.

Wanaume wenye maarifa wanapenda kuombwa hela kwa malengo (mtaji)
Hapo utazipata kama anazo kwani anategemea baada ya muda usimuombe tena vihela vidogo vidogo.
 
Heee! Mshahama tena.

Zile mada za kuwasema wanawake kutokuolewa hamuzitaki tena.
Acha tuwachanganye kama mnavyotuchanganya, mweusi , mrefu, kifua kipana, anahela alafu unataka mtoot mweupeπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…