...Mimba Zote hutoka Kwa Mume??[emoji848][emoji848]π π sasa mimba si inabidi apate mume kwanza??
MashAllah!!!!ngoja waje mie ninavyo
Tacall la kazi gani ππManzi msomi [emoji777]
Manzi mzuri sura[emoji777]
Manzi mwenye pesa[emoji777][emoji777]
Manzi mwenye tackle[emoji3581][emoji3581]
Tupunguze hizi dharau hata mama zetu walikuwa wadada na hawa wa sasa ni mama wa wengine huko mbeleniHaya wadada njooni hapa mpate kufungukaππ
maana Malaika wa Mungu anapitia huu Uzi.
NB. Siku hizi mjini mwenye tako anajiamini kuliko mwenye degree.
Mtani mada ya wajukuu hiingoja waje mie ninavyo
Siku hizi unaringa sanaπngoja waje mie ninavyo
Kideo mkuuTacall la kazi gani [emoji16][emoji16]
ππIla jamaniHaya wadada njooni hapa mpate kufungukaππ maana malaika wa Mungu anapitia huu uzi.
NB: Siku hizi mjini mwenye tako anajiamini kuliko mwenye degree.